@pendokids
Side Table
Bestie una table ambayo ata Mgeni akija unauwezo wa kumwekea maji,,juice,coffee,,Tea, nk
Au ndo Bora liende 😃😃😃😃
🧣Hii side table itakurahisishia kusevia wageni wako chakula,vinywaji Kama juice,maji ,wine nk
🧣Hii ni side table nzuri sana kwa seblen,,chumbani,Hospital,Garden nk
🧣Inarahisisha hata Kwa Wazee wetu Kwa ajili ya kusevia chakula,maji,vinywaji nk
🧣Ni Imara sana
🧣Huwezi ipata sehemu nyingine yeyote ile
Haya mambo yamerahisishwa
Njoo ujibebebee dukani
Bei: 43,000 tu
Jumla: 39,000 kuanzia 5pcs
TUPIGIE: 0766 286408
TUNAPATIKANA MAKUMBUSHO BUS STAND JENGO LENYE VIVA SUPERMARKET GOROFA YA KWANZA DUKA NO 27A
Karbu sana Boss wangu