@evardontz
MI Smart Air Purifier 3H
BEI: Tshs 300,000/=
KAZI:
➡️ Huondoa moshi,vumbi na chembechembe zingine za vichafuzi kwenye hewa kwa asimilia 99.97% ikiacha hewa ikiwa safi na salama.
➡️Usaidia kupunguza allergy za vumbi na dalili za Asthma kwa urahisi.
SIFA:
✅True HEPA filter huondoa chembechembe za vichafuzi kwenye hewa kwa urahisi zaidi.
✅Inafanya kazi na Google Assistant na Amazon Alexa.
✅ Ina OLED Touch Display na inassuport WiFi.
✅Sensor ya hewa upima joto na unyevunyevu.
✅Ufanisi wake inacover eneo lenye ukubwa wa mita 45 za mraba.
✅Ina nguvu lakini haina kelele.
Call/WhatsApp📲0693007945/0754894045
Follow us👉@evardontz