@mabati_bomba_tz
✅KWA WATEJA WA MIKOANI TUNAWAHUDUMIA KWA UTARATIBU MAALUM AMBAPO UTATAKIWA KUTUMA MUWAKILISHI NDUGU JAMA AMA RAFIKI AFIKE KIWANDANI AONE BATI AJIRIDHISHE NA HUDUMA ZETU THEN
💠PAYMENT
MALIPO KWA NJIA YA CASH AMA DIRECT BANK KWA ACC YA COMPANY
💠ORDER PROCESSING
TUTAANDAA MZIGO WAKO NA TAYARI KUSAFIRISHWA KUJA MKOA HUSIKA
💠WAY BILL
HII NI DOCUMENT TUTAKAYOAMBATANISHA NA LISITI YA MZIGO IKIWA NA JINA LA MPOKEAJI NA MAWASILIANO YAKE NA SEHEMU HUSIKA MZIGO UNAPOTAKIWA KUFIKA.
💠RECEIVE AND FEEDBACK
HATUA YA MWISHO NI MTEJA WETU KUPOKEA MZIGO NA KUTUJULISHA KUWA UMEPOKEA MZIGO WAKO.
📌 DELIVERY NI FREE KWA DAR ES SALAAM NA MIKOANI KOTE.
CALL/WHATSAPP
0719669488/ 0745455903.