@juliana_starlook
Mliniomba sana nirudie hi nguo wateja wangu!! Nadhani sitourudia Tena hi nguo kuleta ni Mara ya mwisho Kwahivo fanya kuwahi mapema ujipatie kitu chako kabla sijatangaza sold out
Tsh 35000
Size M L XL XXL
Rangi zote nimepost wapenzi
Ujanja kuwahi Tupo kariakoo mtaani wa narung'ombe na congo Jengo limeandikwa Mandela jr pandisha ngazi
0682238321 #nguozakike #vigauni #gauni
22 minutes ago
3 Juliana juliana_starlook