@elegantkitchentz
Pata vyombo vya ndoto Yako vinavyoendana na hadhi yako, tengeneza fahari mezani kwako.
Unachohitaji Kufanya ni kutumia sms DM au WhatsApp na ndani ya masaa 2 yajayo itakuwa unatabasamu Kwa furaha.
Mpendwa mwanamke ,Kwa amani kabisa unakaribishwa mezani Kwa mwanamke mwenzako na ushangaa uzuri wa vyombo alivyonavyoπ€,
Au Kila siku wewe kuhudhuria home party za wenzako tu, wewe kuandaa kwako aaaah, kwanini Sasa haufanyi hivyo? ππ Nimekushika huna vyombo dadaπ
Hiyo nguvu unaitoa wapi, au hujasikia kwamba mwanamke vyombo dadaπ
Kama ni wewe hiyo basi Leo ndio siku Yako ya bahati, @elegantkitchentz tumekuletea vyombo vizuri, vya kipekee, na imara vitakavyokidhi hadhi yako na kuondoa hiyo hofu ya kuarika wageni nyumbani kwako na kuipata familia Yako furaha pindi mnapata chakula pamoja.
Karibu uwasiliane nasi kupitia βοΈCall/ WhatsApp +255(0)744330079
Malipo ni baada ya kupokea mzigo (wakazi wa Dar).
Mikoani na nchi za jirani malipo kwanza ndo tunatuma mzigo.
Mikoani kama una ndugu Dar mtume tutampatia mzigo wako.
Tunatuma mizigo Kwa uaminifu mkubwa sana
((Mwaminifu Kwa Kidogo ataongezewa kikubwa)
NO FREE DELIVERY
Like
Share
Comment
Buy from us
#queenofkitchen#michezoyawatoto#nonsticksufuria#vikombe#dinnerset s#standzavyombo#vituvyajikoni#instaprenuer#tvituvyanyumbani#tvyombo #vituvyajikoni #chopper#blender#kitchen#elegantkitchentz#dinnerset#jikoni#sendoff #kitchenparty#daressalaam#nairobi