Takeer
Next
@elegantkitchentz
Unatunzia wapi Detox, juice, na maziwa Yako.
Usipate shida kutengeneza detox na juice Kila siku unaweza andaa once a week, ukawa unatunza kwenye hizi chupa Nzuri. Zinaingia kwenye Fridge.
Ujazo Lita 1( 1000mls)
1/ 20000 Tsh