@zeromoja_
COTTON SATIN with EMBROIDERY ๐๐
Hizi ni Shuka ambazo ni 100% COTTON zenye Mngโao kama wa silk ndo maana ikaitwa Cotton Satin...Sasa hizi zimeongezewa Nakshi (EMBROIDERY)
EMBROIDERY ni maua flani yanashonwa na nyuzi za silk na za cotton kwa pamoja kutengeneza mchoro kwny shuka. Zile nyuzi zinapokua za quality nzuri zinaleta muonekano flani hivi chumbani.
Lazima ujikute unapenda kuspend muda mwingi chumbani ๐ค...kiufupi hizo shuka ni MWIBAA๐๐๐คฃ๐คฃ
Shuka 1 plain
Duvetcover1 ina embroidery (imetariziwa)
Foronya 2 plain
Foronya 2 zina embroidery (zimetariziwa)
420,000/=
Duvet cover........... 200kwa220cm
Shuka..................... 240kwa260cm
Pillowcases 2.......... 50kwa70cm
Oxford pillowcases2.....60kwa80cm
Jamanii Set zimekuja 10 tu Dukani Zipo tayari
๐Tunapatikana Mbezibeach Barabara ya Mwaikibaki next to Oryx Petrol Station opposite to Mbezibeach primary