@dig4max_shop
Heavy duty mixed value (bill counter machine)
Bei 2,300,000 tzs
Hii machine kwanza inakusaidia kuesabu note mchanganyiko na kukupa kiasi sahihi .
Ina speed ambayo unaweza kuesabu ata 10Milion kwa dakika Moja.
Haikwamishi na hairukishi note kabsa inaesabu kwa usahihi mkubwa mno.
Inauwezo wakuesabu note za kigeni kama Dollar, Euro,GBP,ksh,Tsh na zingne zote .
1 year warranty.
Call,sms, what's app
0747138367