takeer.com

Takeer

Takeer - Wateja⚠️⚠️

Wateja wateja 
Tunajitahidi kupeana elimu kila sku, 
Na video ya mwisho nimeelezea kbsa
Moja dalili ya matapeli ni kuuza bidhaa zenye u...
takeer.com
@watson_electronics
Wateja⚠️⚠️

Wateja wateja
Tunajitahidi kupeana elimu kila sku,
Na video ya mwisho nimeelezea kbsa
Moja dalili ya matapeli ni kuuza bidhaa zenye ubora mkubwa kwa bei ndogo,
Mfano huyu ameambiwa samsung S21 double line 290,000/= kwel simu inayouzwa zaidi ya 950,000/= na kalipia matokeo yake katapeliwa .
Hakikisha unaponunua bidhaa jiridhishe kwanzia bei mpka ubora wa bidhaa📌
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play