@mabati_bomba_tz
JE! NI VITU VIPI VYA KUZNGATIA KABLA UJAFANYA MANUNUZI YA BATI?
Ndugu mteja tunakushauri ufuatilie kwa kina kuhusiana na vitu hivi vitatu( 3) kabla ujafanya maamuzi sahihi katika ununuzi wa Bati.
❇️UBORA WA BATI; Ubora wa Bati hutokana na Materials yaliyotumika katika utengenezaji wa zile COIL za Bati ambazo viwanda vingi tunaziagiza kutoka NChi za wenzetu then coil hizo uwa na Classes mfano “Class D” karibu kiwandani kwetu tutakuelekeza vizuri juu ya hizo Classes na pia tutakushauri Class ipi ni nzuri.
❇️UIMARA WA BATI; Uimara wa Bati hutuwezesha kutambua Bati yetu inaweza kudumu kwa mda gani bila kutoboka wala kupata kutu na rangi kupauka.
Ni ukweli kwamba kuna vifaa hutumika kupima uimara wa Bati kama vile; 1. Coated thickness tester: Hichi ni kifaa ambacho hutumika kupima ujazo wa rangi katika rangi ya Bati so kadri itakavyokuwa inasoma kiwango cha juu inaonyesha kwamba rangi imejaa katika Bati na hata upaukaji wake utakuwa unachukua mda mrefu. 2. HD Magnifier: Hichi ni kifaa ambacho ni kama mfano wa Lenzi ambapo huelekezewa kwenye Bati kwa juu kama ukaangalia kwenye lenzi ikaonyesha vizuri (Clear) bila ukungu wa aina yeyote ile maana yake Bati hiyo ni Imara sana.
Ni ukweli kwamba vipo vifaa vingi sana katika upimaji mfano Tabular Impact Tester, Solvet Tester n.k
❇️UPAUKAJI WA RANGI; Ni ukweli kwamba hakuna Bati isiyopauka kabisa ila kikubwa tunachokiangalia ni Bati unayonunua itadumu mda gani bila KUPAUKA RANGI, kama nilivoeleza hapo juu kupauka kwa rangi ya Bati itaweza kudumu mda mrefu bila kupauka kulingana na Materials (COIL) zinazotumiwa na kiwanda zipo katika Class ipi, na kuhusu Class nzuri ipi na mbaya ipi nisingependa kuzielezea humu kwa manufaa ya biashara za watu wengine, karibu kiwandani kwetu tutakuelekeza juu ya hizo coil na Classes zake.
Na hakikisha kuwa kabla ujafanya maamuzi ya ununuzi wa Bati basi ushafahamu nini maana ya GEJI na utofauti wake.
Karibu sana kiwandani kwetu tutakupa Elimu na tofauti kuhusiana na Bati na Maamuzi yabaki ni yako Mteja.
FOLLOW,
@mabati_bomba_tz
@mabati_bomba_tz
@mabati_bomba_tz
Kwa Mawasiliano:
0719-669 488 / 0745-455903