@gg_cosmetics255
MEDIX 5.5 RETINOL + FERULIC ACID
BODY TREATMENT CREAM
Best Cream yenye mchanganyiko wa kurudisha ngozi ujana🙌🏽✨
Retinol + Ferulic Acid na Vitamin E uwe na uhakika ngozi itagoma kuzee kabisa 💯
Inaondoa makunyanzi, michirizi, mfubao na kukaza ngozi ilotepeta
Iko na anti aging properties hivo ina kaza ngozi iliyochoka na kuondoa kukunjamana/makunyanzi katika ngozi
Inarejesha ngozi iliyoharika kwa micream mikali au ngozi ilochoka
Toning yake ya ngozi ni balaa, unakua na rangi moja mwili mzima huku ukiwa mwenye afya
Inaipa ngozi unyevunyevu wa ajabu kabisa, ngozi inabaki ikiwa na ubichibichi
Kwa ngozi aina zote
Bei 75,000
📲call/watsapp 0756493035