@zeromoja_
Haya jamani mara ya mwisho tulileta set 10 kwa kila design
Mzigo huu mkaomba tuongeze mana ilikua kabla mtu hujakaa Sawa unakuta design uloipenda imeisha
Haya sasa Twende kaziii kila design ya Cotton Ranforce na Cotton Satin tunayopost zimekuja SET 20 ππ
π₯ukipendelea plain tupu unapata
π₯ukipendelea maua tupu unapata
π₯ukipendelea duvetcovers unapata
π₯ukipendelea shuka kama shuka unapata
Mambo ni π₯ π₯ π₯ muenjoy wateja wetuπ₯°π₯°