@max1_limited
Kitchen sink modern design zipo za aina tatu:- kila moja na bei yake
1. batani zake ni nne na ina display ya kuonyesha nyuzijoto za maji
2. batani mbili na display pia kama hapo juu ila tofauti kidogo kimuonekano
3. Haina batani wala display ila ina kila kitu kama hizi nyinginezo kwenye upande wa utendaji kazi
Pia zipo bidhaa zote za bafu na choo pamoja TV showcase
@max1_limited @max1_limited
Tupo pale pale Kariakoo Gerezani mtaa wa Kiungani na Congo bango limeandikwa MAX ONE LIMITED tumetizama mtaa wa kiungani. Kumbuka duka letu ni moja tu hatuna tawi popote sio Kariakoo wala mkoani epuka watu wanaotumia jina letu ambao kimsingi sio sisi. Tunafanya delivery popote pale ulipo mzigo unaupata
whatsapp 0658313332 call 0628552442