@max1_limited
Karibu Max One! Tunakuletea mzigo mpya wa cabinet sink za kisasa, zenye material ya marble (high gloss). Cabinet hizi kamwe haziathiriwi na maji wala kuchubuka, ni rahisi kusafisha na kubakia nadhifu muda wote. Njoo ulifanye bafu lako kuwa nadhifu na Max One
Bei: TZS 900,000 kwa seti kamili, inayojumuisha:
- Cabinet yenyewe
- Kioo chenye taa
- Koki miksa
- Flexible pipe
- Waste ya maji taka
- Blackets za kufungia ukutani
Mahali: Tupo Kariakoo, Gerezani, mtaa wa Kiungani na Congo.
πKariakoo Gerezani,Kiungani&Congo
Call/whatsapp +255658313332
Njoo uone ubora wetu na ufurahie huduma bora!
follow @max1_limited @max1_limited @max1_limited @max1_limited
:
:
:
:
:
:
:
:
:
:
:
:
:
:
:
#sanitarywares #sanitaryware #bathroom #bathroomdesign #faucets #interiordesign #washbasins #sanitary #homedecor #basin #ceramics #tiles #floortiles #bathroomdecor #buildingmaterials #washbasin #sink #faucet #sanitaryproducts #taps #sinks #ceramic #plumbing #bathroomremodel #kitchensinks #sanitarywareproducts #bathroomsink #tileshop #ceramicbasins #bathsink