takeer.com

Takeer

Takeer - Hapa Max One tunakuletea Shower mixer Piano Style, shower ya kisasa iliyoundwa kwa ustadi wa hali ya juu. Imetengenezwa kwa copper, hivyo basi ni s...
takeer.com
@max1_limited
Hapa Max One tunakuletea Shower mixer Piano Style, shower ya kisasa iliyoundwa kwa ustadi wa hali ya juu. Imetengenezwa kwa copper, hivyo basi ni sugu dhidi ya kutu na athari za magadi. Shower hii inafanya bafu lako kuwa safi na la kisasa, ikiwa na mtindo wa kipekee wa kubofya kama piano.

Tembelea showroom yetu iliyopo Kariakoo, Gerezani mtaa wa Kiungani na Congo, au wasiliana nasi kupitia piga/WhatsApp 0658313332. Tunathibitisha utendaji kazi wake bora na ubora wa hali ya juu!

Tunafanya delivery popote pale tunakufikia

#MaxOneLimited #ShowerPianoStyle #UboraNaUhakika #BafuLaKisasa
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play