@builderschanneltz
Je unahitaji machine ya kuoshe magari au kufanyia usafi?
BUILDERS CHANNEL NDIO SULUHISHO LAKO
KWANINI UNUNUE MACHINE KWETU?
1- Tunakupa fundi wa kukufungia na kukuelimisha juu ya machine
2 - Tunatoa huduma ndani ya muda mchache kabisa (mikoa yote tunatuma)
3 - Premium quality ya bidhaa zetu
4- Bei nafuu
5- FREE DELIVERY
6 - WARRANTY ya kudumu
Tuna bidhaa nyingi sana za usafi, car wash , ujenzi, kilimo nakadhalika
Kama ni mfanya biashara wa muda mrefu au ndio kwanza unaanza basi tunakukaribisha ofisini kwetu ujipatie OFFER YA CAR WASH SETS
Seti ya mafuta / petrol
Pressure washer ya petrol + vaccum cleaner 30 L + soap gun
Seti ya umeme
Pressure washer ya umeme ( easy power/ edon) + vaccum 30 L + soap gun
Utaongeza hela kidogo sana kwa pressure washer ya EAGLE au LUTIAN
โ
MIKOA YOTE TUNASAFIRISHA KWA USALAMA NA UMAKINI
KWA MAWASILIANO ZAIDI :
__________________________
๐ | Whatsapp : 0788-967717
Location : POSTA, mtaa wa jamaat na morogoro road , DARESALAM.