@nare_hardware
Ndugu wateja wote wa @nare_ hardware , tuna wakaribisha dukani kujionea vitu vipya na vya kisasa,
Kwa wale wa mikoani ondoeni shaka , press order yako na tutakufungia mzigo kwa uhaminifu kama ulivyo chagua,
Karibuni sana tuna wapenda sana😇