@leymar_tz_urembo
Hellow Maboss Zangu
Kelele za mzigo mpya ni nyingi sana π
Newstock ya Bracelet za Bangles ndio hiyooo imefika na vigelele vyake
Bangle 1 12,000/=
Bangles 3 24,000/=
Bangles 6 42,000/=
Bangles 12 78,000/=
Bangles 30 180,000/=
Tunafanya delivery,tunatuma mikoa yote Tz bila kusahau nchi jiran pia tunatuma β
Tunapatikana kariakoo kituo cha Kongo
Number za Oder na Maulizo
0657103950
0754555993