@koreanbeauty_tz
TELL YOUR FRIENDS TO TELL THEIR FRIENDS THAT .@koreanbeauty_tz IMEWASOGEZEA PRODUCTS PENDWA ZOTE.
TIR TIR MILK SKIN SASA ZINAPATIKANA KATIKA OFISI YETU
NI TONER NZURI SANA ILIYOTENGENEZWA KWA KUTUMIA RICE...KAMA TUNAVYOFAHAMU KAZI YA MCHELE KWENYE NGOZI ...INAFANYA NGOZI INA GLOW VIZURI ...INAIPA NGOZI UNYEVUNYEVU WA MUDA MREFU...INATULIZA NGOZI ZILIZOHARIBIKA HASA WENYE FUNGUL ACNE HII NI NZURI SANA KWAO.
PRICE 85,000
NUMBUZIN 5+ VITAMIN AND NIACINAMIDE CONCENTRATED TONER PADS
HII NI KIBOKO YA HYPERPIGMENTATION MADOA YA CHUNUSI NA HATA WENYE MELASMA INAEAFAA KUTUMIA SABABU YA ACTIVE INGREDIENTS ZILIZOPO
PRICE....65,000
NUMBUZIN 1 SUNSCREEN...
NZURI SANA KWA OILY SKIN PIA INAWAFAA WENYE OILY SENSITIVE
PRICE 55,000