@trending_vifungashio_package
New Arrivals square craft container zipo dukani hizi nzuri sana kwa salad, smoothie, soup, urojo na chakula chochote unawekea humu. Kuna size mls500, 750 na mls 1000 bei tsh 800,1000 na 1200 kwa wanaohitaji kwa jumla tucheck 0718046567