@littlemore_mlimani_city
Dear’s costumers kama mpaka sasa hujatembelea dukani kwetu basi unapitwa na vitu vizuri na bei zetu pia ni nzuri yani kukosa vitu vizuri ni utake wewe tu sisi @littlemore_mlimani_city tunakujali sana ndio maana bei zetu ni rafiki kabisa mambo ni moto dukani mzigo mpya umeingia usipange kukosa!👌
Tupo wazi kila siku(Monday -Sunday) kwanzia saa tatu na nusu asbh mpaka saa mbili kamili usiku
Don’t forget to tag your friends mambo mazuri yapo huku 💃💃
Shop with us 🛒🛒
@littlemore_mlimani_city