@tnashshoes
“Mbaniani mbaya, kiatu chake dawa.” methali hii ina maana gani?
Kuna wakati unaweza kupitia mazingira ambayo watu wana kutengenezea chuki na kukuwekea ugumu katika mambo yako fulani fulani ila katika hayo yote magumu unayopitia yakawa ni faida kwako kwani yanakufanya uwe ngangari zaidi na kukufikisha kwenye HATIMA yako 🥰.
Usiogope changamoto, tafuta njia nzuri yakukabiliana nazo huku UKIMTEGEMEA MUNGU🙏🏻.
Please share na wengine, inaweza kumfikia mtu anaehitaji kutiwa moyo sasahivi 🤝
Tupo: Mlimani City Opposite sheli ya Total, Barbara ya Survey
🔍 Bolt/ Map: Tnashbrand
•Mkoani unapata ndani ya siku 1
•Tunatuma popote kwa garama za mteja 📦
•Disclaimer, we are not affiliated with any brands posted in this account. Copyrights and registered trademarks are reserved to brand owners.
•
•
•
•
•
•
•
•
•
•
•
#tanzanian #tanzania #tanzaniasafari #fursa #tanzanianweddings #malkiawanguvu #tanzanianfashion #biashara #cloudsfmtz #visittanzania #diamondplatnumz #wcbwasafi #arusha #dar #mwanzamwanza #daressalaam #tanzaniangirl #jiajiri #cloudstv #milladayoupdateskwenye