@mapazia_vunja_bei
RELI ZA PAZIA ALLUMINIUM PURE 👌
👌@Mapazia_Vunja_Bei
Ofa Kabambe kwa Wateja Wetu Wapendwa!
💫Tunakuja na reli za mapazia za kisasa na zenye ubora wa hali ya juu, zimetengenezwa kwa pure alluminium kwa bei ya punguzo!
☀️Single Reli: TZS 25,000 kwa mita moja
☀️Double Reli: TZS 50,000 kwa mita moja
🏘️Huduma Maalum! Tunayo huduma ya kufika site kwa ajili ya kufanya vipimo kwa gharama nafuu kabisa! Hakikisha unapata vipimo sahihi na bidhaa inayofaa nyumba yako.
Tunapatikana:
Kariakoo, Mtaa wa Livingstone na Narung’ombe
Wasiliana nasi:
📞 #0759 174 228
Pata Reli za mapazia bora kwa bei nafuu na huduma ya kiwango cha juu leo!