@_frida_collections
Alovera gel zimerud dukan .
10,000 na jumla 8000
hzi nzuri sana kwa watu waliongua na Vipodozi vikali . Umepata rangi mbili au weusi wa kuungua
Tumia kurudisha ngozi yako kawaida.
Na pia inatumika kama Moisturizer kuongeza unyevu kwenye ngozi yako.
Wale waoshinda sana kwenye moto au juani tumia hii