@trending_vifungashio_package
Hello dears glass jar zimerudi tena na sasa tumeleta gram 100 pia na mfuniko mweusi Upo pia bei ya gram 100 ni tsh 1800, gram 240 sh 2000 , gram 350 sh 2200 na gram 500 sh 2500 kwa wanaohitaji kwa jumla tucheck 0718046567. Duka lipo kkoo mtaa wa Livingstone na Tandamti tunafanya delivery na mikoani tunatuma pia. Karibuni sana