takeer.com

Takeer

Takeer - M5 🔥
Price: 350,000/- (single)
 680,000/- (Double)

- Zinakuja na Flange size 3 tofauti .
- Ni Pump yenye muundo wa kisasa.
- Inakuja na Hardcase ...
takeer.com
@breastpumptz
M5 🔥
Price: 350,000/- (single)
680,000/- (Double)

- Zinakuja na Flange size 3 tofauti .
- Ni Pump yenye muundo wa kisasa.
- Inakuja na Hardcase yake, ikirahisisha kubeba na kusafiri nayo kwa urahisi na usalama.
- Inakuja na chart ya kupima size ya chuchu yako ili kujua flange size inayokufaa
- Inakuja Na Wire wa Type C Ambao unakupa Uwezo wa Kucharge popote Ulipo
- Baadaa ya 30mins inajizima Automatic, Hivyo Battery yake inauwezo wa kukamuwa 4-5sessions.
- Ina kipengele cha kuhifadhi kumbukumbu kinachosaidia kuhifadhi data ya kila Session baada ya kila matumizi, hivyo kuhakikisha kuwa haukosi muendelezo wako wa kupump.
- Sauty yake ni ndogoo Sana.
- Inanguvu zaidi kwenye kukamuwa maziwa
- Inaempty ziwa kabisa bila kubakisha.
- Imeundwa ikiwa nyepesi na muundo wa kufichika ndani ya sidiria, tofauti na pump zingine.
- Seal yake ya kubana ipo extra thick (double)
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com