@leistunglubes
Liqui Moly Ceratec is an oil additive designed to reduce friction and wear in the engine.
It contains ceramic compounds that adhere to metal surfaces, providing a protective layer that helps reduce fuel consumption and emissions while improving engine performance.
It’s often used to enhance engine longevity and efficiency.
Moja kati ya bidhaa bora kabisa kutoka liqui moly #CERATEC
Inasaidia kupunguza msuguano wa vyuma ndani ya injini, kuongeza ufanisi na kupunguza ulaji wa mafuta.
Kubwa kati ya yote inasaidia injini kudumu kwa muda mrefu.
Inatumika kwa magari yote diesel na petrol.
Zinapatikana kwetu kwa bei ya jumla na rejareja.
#performanceguaranteed #LiquimolyCeratec
☎️☎️☎️ 0750596677
📍📍📍 Makumbusho