Takeer
Next
@ainant_hardware
Tumetembelewa na team nzima ya Kampuni ya Sika dukani kwetu, karibuni dukani kwetu mjipatie bidhaa bora za Sika. 0622-10 00 05 & 0766-36 36 36. Goba-Kulangwa, Madale road.