@libelly_phone_accessories
25,000/= BORMO METAL SOUND SPEAKER Ni Speaker Ndogo ila yenye mdundo
Ni Bluetooth speaker
Inakaa na chaji masaa manne
Unaongelea na simu
Inatumia memory card pia
Pia niyakuchaji
Unaweza unganisha na pad, simu, ipod na pc
Mdondo wake na umbo utajutia kuinunua
Tupo mtaa wa likoma/Masasi street Call/whatsap 0674106254
Popote ulipo unatumiwa