Takeer
@ipstanzania
Safu nyeupe ndani ya mabomba yetu ya PPR FlowPlus ni safu ya kizuizi. Hii huzuia bakteria kukua ndani ya bomba ili maji yaendelee kuwa na afya. Kuwa salama, hakikisha, tumia #ipsHalisi pekee