@leymar_tz_urembo
Hellow Dears
Tumewaletea Newstock ya Sets za Cheni na Heren zenye pearls na stones imefika dukan katika designs na rangi nyingi tofaut tofaut,Material yake ni nzur sana unaweza kuvalia kwenye Events mbalimbali sababu ya mionekano yake unaweza kuvaa kwenye Sherehe za usku,ofisini na mizunguko ya kila siku
Set moja 15,000/=
Jumla 10,000/= kwanzia set 3
Tunafanya delivery,tunatuma mikoa yote Tz bila kusahau nchi jiran pia tunatuma ā
Tunapatikana Kariakok kituo cha kongo
Number za Oder na Maulizo
0657103950
0754555993