@kukuz_tz
Awamu ya Pili ya Upimaji wa Mayai Halisi ya Kienyeji Kabla ya Kupeleka Kwa Mteja...!
Jukumu Letu ni Kuhakikisha Unapata Kilicho Bora Zaidi...
Hakuna Mtu Analipia Hela Yake Ili Apate Kibovu...
Tunaithamini Pesa Yako na Ndio Maana Tunahakikisha Unapata Kilicho Bora Zaidi...
Jana Ziliingia Tray 20 Tu Kutoka Singida Vijijini...
1 Tray =Tsh 19,000/= Tu + FREE DELIVERY SERVICE
Wahi Sasa Kabla Hazijaisha, Zimebakia Tray 7 Tu za Mwisho...!
Call/WhatsApp: 0788 53 38 53
Shopđź“Ť: Mbezi Beach karibu na Massana hospital