@nare_hardware
Hii ni moja ya feedback kutoka kwa mteja alie chukua , offer ya full set ya 700000/= ( laki saba)
Tazama ilivo kaa vyema, ofa bado inaendelea karibuni sana.
Tupo kariakoo mtaa wa livingstone na omarilondo,
Delivery kwa dar es salaam tunafanya, mikoani tuna tuma karibuni sana๐