@bigdealsocks
HIZI NDIO FAIDA KUU MBILI ZA UVAAJI WA TIE BAR/CLIP
KWANZA KAMA WEWE NI MTU WA OFFICE WEAR,TIE CLIP NI KITU CHA MUHIMU SANA KWANI KITAKUSAIDIA KUIWEKA TIE YAKO IKAE MAHALA PAKE ALL DAY LONG 💯
SECOND,NI ACCESSOIRES INAYOWEZA KUONGEZA NAKSH KWENYE MUONEKANO WAKO HASA UNAPOPATIA KUIVAA 💯
PICHA HAPO JUU INAMAELEZO YAKUTOSHA YA SIZE YA TIE BAR UNAYOTAKIWA KUVAA KUTOKANA NA UPANA WA TIE YAKO📌
LAKINI PIA PICHA NAMBA MBILI INAONYESHA WAPI NI SEHEMU SAHIHI YA KUIWEKA 📌