@koreanbeauty_tz
Great News ❤️ 😊 THE [TIRTIR MILK SKIN RICE TONER: ONE OF THE BEST TONER FOR GLASS SKIN is now available @KOREANBEAUTY_TZ in Retail na Wholesale Price
Rice Toner hii imejipatia umaarufu mkubwa sana duniani na kupendwa na watumiaji wengi wa skincare products za Korea kwa sababu ya ubora na utendaji kazi wake katika ngozi. Ingredients nyingi mashuhuri zilizotumika kutengeneza toner hii ni pamoja na niacinamide, rice Bran Extract, Ceramide na Panthenol
Toner inasaidia sana katika
1. Kuhakikisha ngozi inakuwa hydrated kwa 24hrs
2. Kuipa ngozi nuru na mg'ao [glass skin]
1. Kuzuia na kutibu chunusi na makovu katika ngozi
3. Ni Anti-aging nzuri
5. Na Faida nyingine nyingi sana
Karibu sana Koreanbeauty_tz
Tunapatikana Sinzamori Opposite na Kitambaa cheupe
0711 612 370 / Chat on WhatsApp- click Bio
환영합니다/ 사라해요...