@msj.hardware
Scrapers inaweza kutumika kusafisha aina nyingi za nyuso na ukali wake,
Zinatumika kukwangua pia madoa sugu kwenye Chuma, Tiles au Ukutani.
Karibu MSJ kwa mawasiliano Zaidi
#MSJ #msjhardware #hardware #Tanga #shop #scrapers #paint #size #tools #stains #cleaning