@sange_hardware
Asante boss wangu kwa kuniamini na kunipa kazi na tumefanikiwa kumaliza salama na kazi inapendeza na kuvutia pia sina budi kuwa juza ndugu zangu wengine ambao mpo kwenye ujenzi tupeni kazi tuwafanyie kitu che ubora wa Hali ya juu kama hivi kwa gharama nafuu sana
Tupo mbezi beach makonde
Mawasiliano
0653062740