@homehardware_storagesolutions
@homehardware_storagesolutions panga bidhaa zako kisasa, store safi na yenye mpangilio..tuna shelves zetu zina size tofauti kukidhi mahitaji yako na eneo tofauti....
- Shelves za Madawa au Vipodozi
- Shelves za Harware na Spares
- Shelves za Supermarket
- Shelves za Petrol Station(duka)
- Shelves za Store na Jikoni
- Shelves za Mizigo
- Shelves za Maduka ya nguo
- Hooks za kutundika vitu; size na design tofauti
Duka letu liko Mikocheni...Dar es Salaam, njia ya Rose Garden Road..jengo la Jued Business Centre; mkabala na ATM ya CRDB !!
Kwa mawasiliano tupigie!
π²Phone & WhatsAap +255 745 332 111
πΊοΈOur Showroom Location is: Jued Business Centre, Rogse Garden Road - Mikocheni.
Website: https://homehardwareandstoragesolutions.co.tz/