@kitengo1_hardware
Mabos zangu
Misumari ipo 2" mpaka 5"
45kg tsh 118000
Misumari 1" na 1.5"
45kg tsh 118000
Misumari ya bati
15kg tsh 55000
18kg tsh 65000
Misumari ya cealing board
15kg tsh 55000
Misumari yetu Ina vichwa vinene na
Isiyokatika kirahisi na ya bati si Ile
Inayochomoka vichwa
Tunakufikishia Dar na Pwani buree
Mkoani tunafikisha Kwa wakala usafirishaji
0756238922 au 0733700337