@kukuz_tz
Kuku Fresh na Wakubwa Wapo Ofisini, Wahi Sasa...!
Whole Fresh Chicken/Kuku Mzima
1kg = Tsh 9,500/= Tu...
(Bei Hutegemea na Uzito wa Kuku, Baada ya Kuweka Kuku Kwenye Mzani Ambao Umesetiwa Digitally 1kg =Tsh 9,500/=, Mzani Wetu Hutoa Bei Kamili Kulingana na Uzito wa Kuku)
Delivery Service Ipo kwa Gharama ya Mteja, Unaletewa Hadi Mlangoni Kazi Yako ni Kupokea Tu...
Call/WhatsApp: 0788 53 38 53
Shop Location: Mbezi Beach karibu na Massana hospital