@global_security_point
Habari,
Router zetu tunauza kwa bei ya 100,000 tu, Moderm tunauza kwa 70,000 tu.
Ni router ya 4G
Inaingia line yoyote
Kwa sasa tuna offer ya Vodacom pamoja na halotel ambapo ukinunua router kwetu tutakiwezesha kujiunga na Bando la unlimited kwa mwezi.
50,000/ = Kwa Mwezi Speed ya 10MBPS
115,000/= Kwa mwezi Speed kubwa ya 20 MBPS
Haziji na line ya simu inabidi usajili line ya simu then unitumie namna ili uunganishwe
Tunapatikana Mwenge, dsm
Namba za simu +255 742 441 011
Delivery tunafanya popote na Utalipia pale mzigo wako utakapokua umefika, Karibu sana