@sange_hardware
Security door made in Tanzani
*Mlango imara
*Mlango Una frame Pana ya kuvaa tofari
*Ukiweka hauna haja ya kuweka grili tena
*Huongeza thamani na mvuto wa nyumba yako
*Hata ukikaa miaka 6 au 7 kufanya marekebisho yake ni rahisi kurudi kwenye upya wake
*Mambo ya wezi kuvunja mlango sahau ramda funguo uwepe mwenyewe
*Ukiwa popote kuwa na Amani ukiwa umeweka huu mlango
*Kiboko ya wezi wanaotumia fatuma maimuna hii ndio
kiboko Yao
Tupo
Mbezi beach makonde
&
Goba road 🛣️ kituo KWANDAMBI
Mawasiliano
WhatsApp &Call. 0653062740