@koreanbeauty_tz
NEW SUNSCREEN IN TOWN ..
BEAUTY OF JOSEON AQUA FRESH RICE + B5 PANTHENOL SUNSCREEN.
NI BONGE LA SUNSCREEN YENYE INGREDIENTS MASHUHURI SANA.
NI LIGHTWEIGHT SUNSCREEN.
NON GREESE
NO WHITECAST
PAMOJA NA KUSAIDIA KUZUIA NGOZI ISIHARIBIWE NA MIONZI YA JUA..SUNSCREEN HII HAITOFANYA NGOZI KUWA DULL ( KUFUBAA) KUTOKANA NA INGREDIENTS ZAKE RICE + PANTHENOL
NI NZURI SANA KWA WENYE OILY NA ACNE PRONE SKIN.
PRICE 50,000
WASILIANA NASI KWA 📞 📲 0711 612 370
AU GUSA LINK KWENYE BIO ITAKULETA MOJA KWA MOJA WHATSAPP