@syresgadgets
Kila mtu anaweza kumiliki Gaming pc nowadays thanks to @syresgadgets kwasababu tumefanya iwe rahisi sana kwako, fika ofisini kwetu ilioko kinondoni manyanya uweze kupewa utaratibu wa namna utakavyo weza kulipia kidog kidogo ili ja ww uweze kumiliki Pc yako, asking prices zinaanzia 1,500,000/= na kuendelea karibu sana
Cc @mancave_pc