@isoslight__accessories
LED Outdoor wall light ( warm brightness ) Available @isoslight__accessories
• Taa hizi Unafunga nje kwenye Kuta za Garden, Nyumba, Fensi au unaweza kufunga Ndani ( hazibagui )
Ni waterproof ( Haziingii Maji )
Imara na zinadumu kwa muda mrefu
📍 Kariakoo, Lindi & Nyamwezi street Dar es salaam
☎️ 0715 747 570