@vitenge_vya_congo
Karibu ujipatie kitenge
Mikoani tunatuma na kwa wateja wetu wa Dar Es Salaam tunafanya delivery kwa garama za mteja.
NOTE:UTALIPIA PESA BAADA YA KUPATA MZIGO WAKO. (Kwa wateja wa Dar)
WA MIKOANI UNATUMA PESA NDIPO TUNATUMA MZIGO.
Price:30000 kuanzia kitenge kimoja mpaka vitatu
Price: 28000 kuanzia vitenge vinne mpaka tisa
Jumla:25000 kuanzia pic kumi na kuendelea
Bonyeza link kwenye bio yangu kujiunga na group letu la whatssp.