@jonas_beauty_cosmetics
THE ORDINARY TONER GLYCOLIC ACID 7%
👨🦯Hi Toner Ina 7% of glycolic acid ni kiwango cha kutosha cha kuweza kupata benefit zote za glycolic acid kwenye ngozi yako , Hi toner Ina review nyingi na nzuri na inasifika kwa kuondoa acne na madoa na kukupa glowing Skin.
👨🦯Hi toner itaexfoliate your upper layer of your skin na kuondoa dead skin cell na kuchochea uzalishaji wa new and fresh skin cell na kuimprove skin texture
👨🦯Inasafisha pores na kuzuia pores Kuziba,
👨🦯Glycolic acid ni antioxidants and antibacterial pia inapambana na breakout (chunusi)
👨🦯Glycolic acid inaondoa hyperpigmentation ( zile alama nyeusi either za Zilizoachwa na chunusi, jua au agespot
👨🦯Ina stimulate collagen production na kusaidia kupunguza fine line and wrinkles
👨🦯ina alovera and ginseng root extrect ambayo inasaidia in soothing your skin
👨🦯ina amino acid ambayo inasaidia kuhydrate ngozi, kufanya ngozi kuwa health & beautiful
Bei 45,000=
Location📍Mbezi Louis Barabara Yakwenda Goba Kituo Ni. (Njia Panda Ya Makabe) Kituon Kabisa.
Call/WhatsApp 0758 492384
Cc: @jonas_beauty_cosmetics