@settystore_tz
Jinsi ya kufika dukani kwetu
📍Uhuru na msimbazi
👉🏻Ukifika mataa ya uhuru
👉🏻Mkono wako wa kulia kuelekea karume
👉🏻utakutana na jengo la kwanza la Nokia
👉🏻Pili jengo la uhuru plaza
👉🏻Chini ngazi tatu pandisha ngazi za rangi nyekundu
👉🏻Ukifika floor ya kwanza duka la 5 mkono wako wa kulia
Karibu sana Settystore
Call/watssapp 0757183071