takeer.com

Takeer

Play
Mute
takeer.com
@zeromoja_
COTTON SATIN with EMBROIDERY ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ

Hizi ni Shuka ambazo ni 100% COTTON zenye Mngโ€™ao kama wa silk ndo maana ikaitwa Cotton Satin...Sasa hizi zimeongezewa Nakshi (EMBROIDERY)

EMBROIDERY ni maua flani yanashonwa na nyuzi za silk na za cotton kwa pamoja kutengeneza mchoro kwny shuka. Zile nyuzi zinapokua za quality nzuri zinaleta muonekano flani hivi chumbani.
Lazima ujikute unapenda kuspend muda mwingi chumbani ๐Ÿค...kiufupi hizo shuka ni MWIBAA๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Shuka 1 plain
Duvetcover1 ina embroidery (imetariziwa)
Foronya 2 plain
Foronya 2 zina embroidery (zimetariziwa)

420,000/=
Duvet cover........... 200kwa220cm
Shuka..................... 240kwa260cm
Pillowcases 2.......... 50kwa70cm
Oxford pillowcases2.....60kwa80cm

Set zimekuja 7 tu Dukani Zipo tayari

๐Ÿ“Tunapatikana Mbezibeach Barabara ya Mwaikibaki next to Oryx Petrol Station opposite to Mbezibeach primary
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com