@smart_home_store
SAMSUNG REFRIGERATOR
MODEL : RT26
UJAZO: LITA 208L
Bei Tshs 1,070,000
Call or WhatsApp 0763001 009
Hii ni new model kutoka samsung ambayo ina warrant ya miaka 20 kwenye compressor na miaka 2 for the product yaani fridge kama fridge.
Ina FEATURES muhimu zifuatazo :
1.Stylish bespoke. Unaweza kuandika na kuacha ujumbe kwenye fridge lako kwa kutumia earse off marker
2. Ina coolpack ambayo inasadia umeme ukikatika vitu vyako kuka na unabaridi
3.Ina all around cooling. Fridge linapoza kwa haraka sana na kukupatia ubaridi unaostahiki
4.Smarthing. Unaweza kucontrol fridge kwa kutumia simu ya mkononi
5.Ina fresh box sehemu ambayo itakusadia kuweka mboga mboga zako fresh kabisa kwa siku saba mfululizo .
6.Ina inbuilt stabiliser ambayo inasaidia fridge kutopata shoti umeme unaposumbua
7.Digital inverter technology iliotumika ili kupungunza matumizi makubwa ya umeme.